Lyrics

G Nako – Komando Lyrics

G Nako Komando Lyrics, Diamond Platnumz Komando Lyrics

Mhh…
(Yeah.!)
Waaraaa…h!
(Leo lion simba na zombi wa mazombi)
We zombie.. !
(Leo lion simba na zombi wa mazombi)
Haujui..!?
(Leo lion simba na zombi wa mazombi)
We zombie
(Leo lion simba na..!)
Na simba la masimba dangote

Omalicha, omalicha..!
Wowowo feki unatingisha
Unaona sifa, tu misifa
We endelea kuzigida utazilipa
We jifanye born hapa
(Mzaliwa)
Na chako tukikitaka
(Kinaliwa)
Wana…….
(Maziwa)
Japo fululu mi matter
(Unalia)

Kwanza poleni, poleni
Nawapa wote poleni
Nawatakia poleni
Nawasalia poleni
Ee, mlioachwa
(Poleni)
Mnaodai
(poleni)
Msio na baby
(Poleni)
Mkakojoe
(Kalaleni)

Komando, komando
(Waambie sisi ndio vipensi komando)
(Waambie sisi ndio vipensi komando)
Kanfuma na katoto katanga
Kamfuma kametoka na kanga ghetto
(Ehh..)

Kanfuma na katoto katanga
Kamfuma kametoka na kanga ghetto
Abah tiee..!
Abah wenah..!
Oh my queen
Nipe tena
Apa chini
Shuka tena
Ona nini.?
Unahema.!

Mchepuko leo nae kasalitiwa
Mke wa mtu sumu kuna maziwa
Maziwa na kutaitiwa
(Tiwa savage)
Umealikwa, umealikwa
We njoo na mpunga patakalika
Mashimo yote kanapita
Twende milima na mabonde panapitika

Kwanza poleni, poleni
Nawapa wote poleni
Nawatakia poleni
Nawasalia poleni
Ee, mlioachwa
(Poleni)
Mnaodai
(poleni)
Msio na baby
(Poleni)
Mkakojoe
(Kalaleni)

Komando, komando
(Waambie sisi ndio vipensi komando)
(Waambie sisi ndio vipensi komando)
Kanfuma na katoto katanga
Kamfuma kametoka na kanga ghetto
(Ehh..)

G Nako Komando Lyrics English Translation

Hmm…
(Yeah.!)
Waaraaa…h!
(Leo lion lion and zombie zombie)
We zombies.. !
(Leo lion lion and zombie zombie)
You don’t know..!?
(Leo lion lion and zombie zombie)
We zombies
(Today lion and lion..!)
And the lion of the lions of Dangote

Omalicha, Omalicha..!
Wowowo fake shakes
You see attributes, only attributes
If you keep pushing, you will pay
Let’s pretend we were born here
(born)
And yours if we want it
(Eatable)
They have…….
(Milk)
Even if the flowers don’t matter
(crying)

First the pollen, the pollen
I give them all pollen
I wish you pollen
I wish you well
Oh, you forsaken
(pollen)
You demand
(pollen)
You don’t have a baby
(pollen)
You peed
(Sleep)

Commando, commando
(Tell them we are the commando pens)
(Tell them we are the commando pens)
Kanfuma and katoto katanga
Kamfuma has come out with kanga ghetto
(Ehh..)

Kanfuma and katoto katanga
Kamfuma has come out with kanga ghetto
Abah teee..!
Abah wenah..!
Oh my queen
Give it to me again
Put it down
Go down again
See what?
You are panting.!

The detour today was also betrayed
A man’s wife poisoned there milk
Milk and milk
(Tiwa savage)
You are invited, you are invited
Let’s come with the paddy
All holes pass
Let’s go to the mountains and valleys that are passable

First the pollen, the pollen
I give them all pollen
I wish you pollen
I wish you well
Oh, you forsaken
(pollen)
You demand
(pollen)
You don’t have a baby
(pollen)
You peed
(Sleep)

Commando, commando
(Tell them we are the commando pens)
(Tell them we are the commando pens)
Kanfuma and katoto katanga
Kamfuma has come out with kanga ghetto
(Ehh..)