Lyrics

Bien & Aaron Rimbui – Mbwe Mbwe Lyrics

Bien & Aaron Rimbui Mbwe Mbwe Lyrics, Bien Mbwe Mbwe Lyrics

Kunywa Maji Eh

Ukimaliza kunywa pombe
Peleka maisha pole pole
Raha jipe mwenyewe zitoke
Kunywa Maji Eh
Ukimaliza kunywa pombe
Peleka maisha pole pole
Raha jipe mwenyewe zitoke
Songa ugali Eh
Foundation weka ya samaki
Ni katikati ya January
Kula ukashirishe kamati
Twanga ugali Eh
Foundation weka ya samaki
Ni katikati ya January
Haribu jina jenga mwili
Ayoyo
Aroro
Fungua button ya shati imekukaba ko
Fungua pia mshipi achilia tumbo
Usiogope kukula jasho yako
Mamama
Aroro
Nikona size yako yangu 4 by 4
Kadogo mali safi better than before
Pesa sabuni na inaniosha roho
Oh oh oh
Hapa ni Mbwe Mbwe
Hapana leta shida hapa ni Mbwe Mbwe
Hapana leta vita hapa ni Mbwe Mbwe
Na ukileta ngori ngumi mbwegze
Hapa ni Mbwe Mbwe
Hapa ni Mbwe
Waiter mbili mbili hapa ni Mbwe Mbwe
Wawili Wawili hapa ni Mbwe Mbwe
Aroro na BienAime ni Mbwe Mbwe
Hapa ni Mbwe Mbwe
Piga kazi eh
Kulima sichagui jembe
Mzigo wangu wacha ni bebe
Jipange ama tukupange
Wacha kitu eh
Wacha kitu shetani ahepe
Si alijileta mwenyewe
Hapa ni shangwe tu na Mbwe Mbwe
Hapa ni Mbwe Mbwe
Aroro
Fungua button ya shati imekukaba ko
Fungua pia mshipi achilia tumbo
Usiogope kukula jasho yako (Kula jasho Yako)
Mamama
Aroro (Roro)
Nikona size yako yangu 4 by 4
Kadogo mali safi better than before
Pesa sabuni na inaniosha roho
Oh oh oh
Aroro
Fungua button ya shati imekukaba ko (fungua button ya shati)
Fungua pia mshipi achilia tumbo (Fungua mshipi)
Usiogope kukula jasho yako
Mamama
Aroro (Roro)
Nikona size yako yangu 4 by 4 (4 by 4)
Kadogo mali safi better than before (Than before)
Pesa sabuni na inaniosha roho (Osha roho)
Oh oh oh
Hapa ni Mbwe Mbwe
Huku kwetu

Huku masikini na wadosi
Kuna ma-barbi na ma-odi
Hatupangui rangi ya ngozi
Lokesheni yetu
Badilisha lokesheni
Pesa ni mingi pombe haitoshi
Nakuemeanza kunuka moshi
Aroro
Fungua button ya shati imekukaba ko (Shati)
Fungua pia mshipi achilia tumbo (Tumboi)
Usiogope kukula jasho yako
Mamama
Aroro (Roro)
Nikona size yako yangu 4 by 4 (4 by 4)
Kadogo mali safi better than before
Pesa sabuni na inaniosha roho
Oh oh oh
Mbwe Mbwe
Mbwe Mbwe
Mbwe Mbwe
Mbwe Mbwe
Mbwe Mbwe