Lyrics

Anjella – Pisi Lyrics

Anjella Pisi Lyrics

Good!
Pisi hilooo
Pisi hilooo
Anjeee!

Me pisi kaliii so pisi butu pisi mwenye uzuri sauti ka kasuku ah pisi flani ivi isio ringia
Makeup pisi isiyodanga bure bila kitu me pisi mwenye hadhi sio local pisi nikitembea
Nyuma mokomoko pisi mwenye mapenzi sio kitoto pisi ninaedangia watu wenye mikokooo

Asa ukisikia pisi ndo mimi pisi inayokubali dela mwilini
Me ndo pisi la mjini nikipita mume wako mfungie ndaniii
Ukisikia pisi ndo mimi pisi nnaejiaminiil usiombe nivae kimini ndani bikini uko nyuma tinginyi uweeee

Nikipita kila mtaa wananita. Pisi hiloo
Masponsa nawadatisha.
Mie nasumbua dar
Pisi kali ninae jua kuvaa
Nikipita kila mtaa wananita pisi hiloo
Ma sponsor nawadatisha
Mie nasumbua dar
Pisi kali ninaejua kuvaa

Oya eeeee kwangu hakuna kukopaa,ukija cash ukigonga unaondoka oyaaa weeee
Me wangu ma sponsor ukinipa lifti miguu dashbodi huku kishoka eh
Usishangae mwenzio nikiongwa ndinga nachanganya mambo ya bara mandingo ya pemba

Me toto flaniii toto la kitanga toto lenye timbwili kitandani vanga hahaaaa asa ukisikia pisi ndo mimi

Pisi inayokubali dela mwilini
Me ndo pisi la mjini nikipita mume wako mfungie ndaniii
Ukisikia pisi ndo mimi pisi nnaejiaminiil usiombe nivae kimini ndani bikini uko nyuma tinginyi uweeee

Nikipita kila mtaa wananita. Pisi hiloo
Masponsa nawadatisha.
Mie nasumbua dar
Pisi kali ninae jua kuvaa
Nikipita kila mtaa wananita pisi hiloo
Ma sponsor nawadatisha
Mie nasumbua dar
Pisi kali ninaejua kuvaa

Mzee jongo kanipa simu tulivyoachana
Mzee jongo kanipa gari tulivyoachana
Mzee jongo kanunua nguo tumeachana
Yan mzee jongo uyooo mzee jongo