Lyrics

King Kaka ft. Ykee Benda – Zungusha Lyrics

King Kaka Zungusha (feat. YKEE BENDA) Lyrics

King Kaka, na Ykee benda
Yoo, crazy, oh yeh,,

Swing, swing, swing, swing
Swing your body closer to me baby,
Swing, swing, swing, swing
Swing your body closer to me baby,
Zungusha mwili,
Zungusha mwili,
Zungusha
Bring your body closer,
Zungusha mwili,
Zungusha mwili,
Zungusha
Bring your body closer,
King kaka
Basi wine, si nimependa doba since,
Nikiwa mtoi na ma moccasins,
Mami wine for my four cousins,
Hakuna works siku hizi ndio kazi,
Na kama haileti mi nakaa masaa,
Ukitaka nibaki basi wine kama saa,
Kuna curfew, na ka masa hayuko,
Nakamata huko
Zungusha kaa machine ya lotto,
Izungushe kama mpiga photo,
Zungusha kama pedi na ki moto,
Zungusha mami, rusha mtoto!
Chorus
Swing, swing, swing, swing
Swing your body closer to me baby,
Swing, swing, swing, swing
Swing your body closer to me baby,
Zungusha mwili,
Zungusha mwili,
Zungusha
Bring your body closer,
Zungusha mwili,
Zungusha mwili,
Zungusha
Bring your body closer,
Basi swing, kama Tarzan kwa fore,
Swing ama saba uichore,
Swing kama kamba ni bore
Swing ni kaa ni yako fore,
Nifunze, vile odijo alinifanya chuo,
Unizungushe kama fundi wa nguo,
Na kama ni ki kisha apewe,
Nataka nitoke na wewe, kifaranga isha lola mwewe,
Jagger na remy, basi si ulewe,
Taxi izungushe jiji kuu,
Mtaani atadiscover ndovu kuu,
Chorus
Swing, swing, swing, swing
Swing your body closer to me baby,
Swing, swing, swing, swing
Swing your body closer to me baby,
Zungusha mwili,
Zungusha mwili,
Zungusha
Bring your body closer,
Zungusha mwili,
Zungusha mwili,
Zungusha
Bring your body closer,

  • Written by:
  • Album:
  • Released:
  • Official Video:

Leave a Response